Msaada wa ushauri na kuhudumia

kwa watoto wakimbizi


Utoaje wetu wa ushauri na msaada una lengo la watoto wakimbizi wa siokuwa na watu wakuwashugulikia.

 

Tunaunga mkono watoto wakimbizi kupitia Ushauri katika masuala ya makazi na maadalizi ya mahojiano katika ofisi ya shirikisho ya uhamiaje na wakimbizi (BSMF) Pia tunashauri katika masuala ya ushirika wa familia, masuala ya afya na tunasaidia kutafuta wanasheria na malezi ya watu binafsi. Ushauri unaweza kufanyika bila kujulikana na mipango ya awali. Tunaweza tafsiri kwa lugha ya mama na inaweza kupangwa kwa barua pepe.

 

mail(at)flamingo-berlin.org