Tunahitaji watu wa kujitolea kusaidia!


Tunatafuta watu wa kujitolea ambao wangependa kuunga mkono wanawake na watoto wakimbizi mmoja ama zaidi; kuandamana nao katika ofisi za mamlaka au madaktari kwa usaidizi wa lugha au kuwasaidia kutafuta makazi.

 

Tunatafuta pia wahudumu wa matibabu kama; relaxation therapists, massage therapists na kadhalika. Tuna wakaribisha madaktari ambao wanaweza kutoa matibabu ya bure mara kwa mara.

 

Tafadhali wasiliana na Sisi kwa mail(at)flamingo-berlin.org