Flamingo e.V.

Mitandao ya wakimbizi kwa wanawake na watoto


Uwezeshaji katika mchakato wa hifadhi:

Kuandaa uunganishaji wa familia:

 

Wito kwa wanawake wakimbizi ambao wamewaacha watoto wao nyuma katika inchi yao ya asili.

Kwa kuungana pamoja kwa kikundi, unaweza kuunga mkono na kupigana pamoja kwa haki yako ya kuunganisha familia.

 

Wanasheria wenye ujuzi watakupa mafunzo na ushauri bila malipo katika masuala yafuatayo:

- Haki ya Hifadhi na haki ya kuishi (upatanisho wa familia)

- Sheria ya kijamii (ni masharti gani ya kisheria?)

- Uwezeshaji

 

Muda - miezi 3 (kuanzia 15.02.2018 Mpaka 15.05.2018)

 

Mahali- Flamingo e.V in Neukolln

Stuttgarter Strasse 61

12059 Berlin

 

Mafunzo ni ya bure, kutafusiri, huduma ya watoto na chakula hutolewa.

Pesa za BVG tiketi zitaregeshwa.

 

Utakuwa na uwezo wa kupitisha ujuzi uliopata kama musemaji katika kundi jipya litakalofuata.

 

Simama imara !

Dai haki ya kuungana na familia!

Panga kuungana na watoto kwa njia ya kisheria!

Pigania kwa hali salaama ya makazi!

 

Jiandikishe: Flamingo-berlin-org

Simu: 030-47052095

Facebook: flamingo.in.berlin

 

 

Mradi huo unafadhiliwa na Umverteilen.AG Frauen